Pa Vijana Hukumbuka

Kila mtu ana kitu yeye hukumbuka juu ya siku ziizopita, anajicheka na anaomba mwili msamaha halafu maisha inaendelea. Back in campo days, you either belonged to the machupa camp or the mizinga one and the weight of the pocket determined where you landed when the party winds blew. Sasa, yours truly alijipata kwa camp ya kuumiza maini aka team brandy till I die ndio bamk balance itoshe both kujenga na kuharibu mwili.

That’s around the time you disover that kuchanganya GK na ka-quarter after an especially mind-bending afternoon lecture inaweza unboggle ubongo enough uweze kuswahili mtoto wa mtu akuje jioni upate joto juu liver imekataa ku-multitask. Since huu si mtindo wa kila siku, weekend ikifika lazima team mafisi waite mkutano na agenda ya kuweka vichwa na mifuko pamoja waweze kuita the week’s No-Firstdate-F*cks-But-I-Party wapige kelele pamoja kwa plot.

So after kila mtu amemaliza fist-bumping each other after kuona usupuu ya ule msichana amekuwa akibebea rafiki yake ukuta ya mawe wiki mzima, kazi ni kufungua mizinga and helping the guests to offload the burdens they’d been carrying unnecessarily. The details za hiyo saga sio focus yetu leo, but the juice that lubricated the subsequent events is. Mchanganyiko wa brandy na coke ndio ulikuwa the order of the day hadi by the end of that school year, mwili ilikuwa inaskia harufu ya cola inatetemeka ikifikiria ni brandy.

This lucky hog was still young enough to learn new tricks but from then, mwili ilikataa kugusa kitu yoyote inaitwa brandy unless hiyo ndio jina ya the lady who I’m about to conquer Jericho style.

ION, me and cola are cool again so, silver lining? :D:D

Reminds me in campo…mko base msee anakuja ananunua keg mnawekwa kwa glass…kidogo mwingine anakam ananunua kibao mnaweka kwa ile glass ya keg…mwingine ananunua Naps mnawekwa kwa hio glass tens…so u end up with a concoction of Keg+Kibao+Naps+KC+ Konyagi…alafu mnaenda westi Changes Tusker mbili hadi asubuhi
End result I sell hard liquor but I can’t put even a drop in my mouth. This concoction killed my taste glads

1 Like

Used to do the same thing bt saa hii naeza puke, ama KO ile mbaya!

1 Like

after high school used to mix keg + naps, it was an explosive combination kila siku nikinywa used to blackout

2 Likes

Yangu in campo ilikuwa keg na kane extra plus nescafe

3 Likes

Mine was just like @Okiya… talk of aftermaths such as cantankerous young niggers fighting in keg dens, of torn condoms leading to massive handouts to imposter single mamas without carrying out due diligence at this age of DNA intervention just to be allowed to complete college, broken doors and college establishments (I remember a friend had to pay sh. 570, 000 in order to complete college), memory scoops and lapses, forced sex etc… the list is endless owing to these fuckedup concoctions!

2 Likes

Boss that was a deadly concoction…K.O was a must

1 Like

Pple believed,it’ll kip tht sh**t smell away,lakini wapi harufu niile ile ya MAVI :mad:

1 Like

Nescafé ilikuwa ya kuongeza steam na nguvu za kiume

1 Like

hizo vita za Keg joints ndio zilinifanya niwachane nayo mapema, kuna siku nilienda nyumbani shati ya white ikiwa red yote, kwa stage hakuna matatu ilitaka kunichukua

1 Like

Ujana ni moshi but saa ingine hiyo moshi inaeza kuua(Weston,2015)

2 Likes

Kweli inakaa this was a rite of passage. Nilikulisha mwili enough concoctions mpaka siku hizi hainibembelezi, nikitaka kulewa either ipatiwe machupa, ama whiskeh na mfululizo wa dasani kadhaa otherwise you wake up to a redecorated house… and sometimes with a very questionable decision lying in your bed :smiley:

kulikua na base inaitwa Gichires opp Afya centre…Keg ilikua safi na inarogwa na kk

1 Like

Hehehe umenikumbusha Emirates hapo tao, ukiingia city na una mkutano halafu ichelewe, unaingia hapo unameza moja. Siku flani nikiwa na stress zangu nilikata waters hapo hadi nikableki, phone na manoti zikaenda. Sijui huyo mwizi alifikiria aje juu nikiamshwa kufungwe, nilijipata na exact fare ya kuenda home

Hapo emirates tumewahi pigwa tukijaribu kunyemelea warembo wa wenyewe , talk of alcohol and poor decisions, madame waliambia maboyz wao a group of around five guyz na tulikua wawili na ma ukame zetu, tulipewa kichapo tukijaribu kuji defend, hizo siku kama sikufa sijui hata

1 Like

Hapo emirates tumewahi pigwa tukijaribu kunyemelea warembo wa wenyewe , talk of alcohol and poor decisions, madame waliambia maboyz wao a group of around five guyz na tulikua wawili na ma ukame zetu, tulipewa kichapo tukijaribu kuji defend, hizo siku kama sikufa sijui hata

Hiyo lesson ni universal, mbratha hehehe. Pia sisi tulikuwa tunameza kadhaa, then tunanyemelea kwa ile wines&spirits classy-ish yenye ilikuwa across the street

Unabahati huku patana na polisi. ungekuwa na hard time ukiexplain ni wapi uliulia MTU.

1 Like

Hata ukipatana nao, group ya walevi huwa na dutch courage ingine mwenda. When Man-U beat Chelshit ile UEFA final fulani, vita ilizuka kwa keg joint hadi karao wakakuja. Walevi badala ya kuhepa wakaanza kujaribu kuingiza karao box eti wajiunge na sherehe juu hiyo siku anyone in blue hasikizwi. Wakajam wakafunga club but 30 minutes later tulikuwa tumerudi, eti hatuwezi lala na pesa na sherehe haijaisha

1 Like

:D:D:D:D

1 Like