Overpriced car market

But why on earth would the very basic cars like Demios, vitz, and the passos, go for over 700K in Kenyan market. Honestly this is madness, gari ndogo Kama hizi zinafaa kuchezea 300K ikienda Sana 500K. Axios and the likes ichezee hapo 600-700k…kuna Watu wanaharibu market ya magari na sijui ni Nani hao

We ni mjinga sana. Kuna kitu inaitwa taxes, ngombe Jeuri.

Import duty na other taxes.

Vits na fits zingekua 300k Kula MTU angekua nayo

Malaya hii, unafikiria sijui kuhusu taxes.

Hata kukiwa na taxes, you can’t justify whatsoever why someone would cough 700G’s for a basic car kama demio.

Issue sio kila mtu kuwa nayo. Ni value ya gari ndio issue. Vitz na Fit inatoshana na 300K in my opinion. Hizo ni gari basic Sana.

You’ve compared with which country…

Governments shafting bila lube… taxes apana mchezo.

Kenya is the only country where the price of a piece of land rises from 200k to 5million just because ‘a tarmac road is proposed to be built there in two years.’

Sijacompare na nchi yoyote Ile, but naona pale be forward hizo motis 2012/13 ziko between $2000 to $3000, before bargaining

Its in the interest of the parasitic dynasties mnunue gari ina lifespan ya 5 years, na mlipe duty *2 bei ya gari, ndio kila miaka 5 muwe mnanunua gari mpya, assured revenues kwao. car age limits must be abolished

If you are a hustler and you feel the pinch ya kununua gari “mpya”, tafuta second hand safi. Make sure you buy from sides za ubabini sio Thika Rd ama Mombasa Rd. Ukiona owner anaishi Westlands, ama sizes za Lavi be very interested juu chances are that is a clean car. Those guys hardly overuse or abuse vehicles. Wengine work majuu and return only a few months in a year. In a pinch contact mabeste wako from those sides wakuconnect na mtu anauza from huko. My cousin bought a premio 2011 for 870k akaniambia mpya inacost 1.6 million. The car was in mint condition. He saved over 700k in that transaction and yet hizo gari niliangalia hakuna difference. In one year, they will be identical.

Kama wewe ni mtu wa nduthi please keep to your lane, otherwise you need to “£”$%%%&^^&*!!!

Master, ebu tuambie how we will know mtu anauza gari anaishi sides za Westlands ama Lavi?

you have a valid point for real.

this is crazy man!what kind of a country is this?yani the Gov doesnt care ata to regulate rent

Wachana na huyo kijana mpuzi.

Student ulisoma hii statement? "In a pinch contact mabeste wako from those sides wakuconnect na mtu anauza from huko. "

Master anasema address iko kwa number plate:D

I have also noticed car brokers in Nairobi overprice used cars. Thoe selling vehicles in small towns wako affordable kiasi.