Najaribu kufanya application online inagoma. Maelezo yaliyopo kwenye online application system hayatoshelezi. Kwenye User name and password hawajasema unatumia user name gani ie ya Index number ya form 4 au yoyote. Niki save Inaniambia niweke index number yaform 4 nikiweka inakataa. Msaada please