Hey wagwana,
mtu aniokolee tricky ya kutoanisha hii lock ya onfon ya lipa pole pole. nitatoa chai please.
Hey wagwana,
mtu aniokolee tricky ya kutoanisha hii lock ya onfon ya lipa pole pole. nitatoa chai please.
Lipia simu na uache wizi babayoo.
Onfon bado wako?
Ni wale walianza 1998 wakiburn pirated dvd kwa stall?
saa hii wamekuwa owners of capital
Ungenunua secondhand kilimall
Wakisii wamebobea,
Nashuku ni ya Matingi, niliona trailer yake hapo inje ya offisi zao.
Maskini jeuri ..fuata nyayo
Anza kuuza mkia
unakopa simu, na ziko hadi za 1k za button?
Peasant mentality, wachana na yeye