Sirudi Tao, Form kali ziko ushago.
we can tell madem wa ushago from a mile away
Wewe hujui kitu unasema. Ushago hakuna warembo. Labda siku za holiday hivi ama colleges zikifunga.Warembo wako mijini.
Nonsense
huyu hajui nini anasema…tembea pale moi avenue , tom mboya jioni utatiii dadii
Ni ukweli.
Any major street of Kenyan towns huwa na warembi wengi sana. Kwa village ni vigumu kukutana nao hata market day ni mmoja mmoja.
Hiyo make up yote na nails mtu wa ocha? wacha bangi gathee
[MEDIA=instagram]Bwt_FzEJUGK[/MEDIA]
U
Ukirudi tao ukifunze kuweka mbisha
background ya kichaka, nyasi pia mnakuanga nayo tao?
Alaa! bana unakulanga hapo?
buda wanaKT wote washatazama na wakaosha mecho isipokua wewe tu, nanadhani sababu ni uvivu wa gadget ile unatumia ku login to Ktalk. usinilaumu
Shait. I should not have seen this!!
Arimis
Hivi Kenya kuna warembo kweli? Been there before ila sikuona manzi mkali. Hell no!