JF imerejea, tunaomba msiyaondoe hayo majukwaa wengine tumeshazoea humu na tumeshakuwa wenyeji.
Mkiyaondoa mtatunyima fursa ya kuchangia kwa Kiswahili chetu humu ndani.
Au mbadili jina badala ya Jamiiforums wekeni Swahili Forums.
@The Tweet.
JF imerejea, tunaomba msiyaondoe hayo majukwaa wengine tumeshazoea humu na tumeshakuwa wenyeji.
Mkiyaondoa mtatunyima fursa ya kuchangia kwa Kiswahili chetu humu ndani.
Au mbadili jina badala ya Jamiiforums wekeni Swahili Forums.
@The Tweet.
naunga mkono hoja
Kabisaa huku tushazoeleka kujichanganya na wajaluo,wakamba,kikuyu nk
Wasiyaondoe. Yabaki hivyo hivyo. Hapa ni salama zaidi.
Naunga mkono hoja.
Mkuu uko sahihi. Sisi tusiojua kusifia huku tuko salama zaidi kuliko hm. Hivyo tunaomba watuachie haya majukwaa tuendelee kufurahia uhuru wa kutoa maoni. Sioni Mello akimudu shinikizo la jiwe.
Jiwe gebwe gebwe sana halijui utu ni nini lipolipo tu.
100 kwa 100
wayaache tu
Watuache huku huko…
Watakaorudi huko warudi wenyewe
Mie huku sitokiii
Una uhakika imerejea ???
naomba tuu kufahamu kwa nn mnamuita JIWE?nijuavyo tafsiri ya jiwe nahisi nikielezea naweza pewa namba 220.mi wanangu bado wadogo ngojaninyamaze tuu.
Jiwe ni jiwe, iwe la msingi ama la ziwani, jiwe ni jiwe, halina uhai wa kiroho maana ni jiwe, halina huruma, laweza piga yeyote kwa haki au kwa kumwonea kwa sababu jiwe ni jiwe haliwezi kuwa mwamba kwa kua lina uwezo finyu sana. Utakua sasa umeelewa
Huku ni bora zaidi hata kama JF og imeanza kurejea. Ila ombi tu kwa uongozi wa KT watengeneze app yao ili iturahisishie kuingia
Itapendeza sana…
Cc: @Mahondaw
Ushauri murua sana huu kwa 100%
mi kule sirudi nabaki Kenya huku
Serikali wameona waifungue mapema Jamii Forum, kabla iyo Jamii Forum ya Kenya haijawa kubwa. Maana itakuwa mwiba kwa serikali kuizidi ya Tanzania
Hiz ng’ombe za uhuru utaskia zmasema
Yaondolewe