ol monk....some advice

In naivasha over the weekend…advice on best joints to kamata moja mbili

Ol monk can only give you advice on how to stay celibate.Mambo ya kulewa hajui.

Tafuta wonder fool huko

Tafuta Wonder fool akukamue kunyi huko

Wacha nikumbuke jina ya club ingine wanalipisha entrance Ksh 100…Ukiwauliza nini iko uko wanasema…DISCO…Nlishindwa kutembea ju ya kucheka…

3 Likes

ULIZA WONDERCHIETH

:D:D:D:D

:D:D will definately look for that one…nijue hio disco iko namna gani

Now coz ol monk cant help anyone with suggestions.

enda twinspot
kuna club hapo nje… iko fiti sana

1 Like

Highschooler asande sana niko thrillers …twinspot is my next stop.

1 Like