Kama okiya angesimama angepita na asubuhi, this is the time ,wale majamaa wote ni mboga
Wote ni mboga na wewe ni ugali?
Sema sakaja.kubali wewe ni mboga
Ati Sakaja ni sembe?
D Maina for president
:D:D:D
Kuna jamaa amesema pale twitter ati Sakaja ni Sabaot na anajifanya mluhya! Politics is very interesting :D:D:D
Meaning atategemea kura za mt.kenya only, :D:D:Dhuyu jamaa hana bahati
Dont kid yourselves. Sakaja na asubuhi…
There are no strong candidates.
@Okiya for senye-ta