Officially

It is now officially confirmed that mimi ni VE…sasa hapa ndio nataka niende meet the people tour . All 47 counties .Lazima watu wajue hii mambo.Hata naweza enda demonstration ya Cord solo. Hata naweza replace Mutunga sasa…Kwanza juzi vile wazae wameamka wakijipata wametoka VE hadi villagers. Lakini msijali mtarudi tu. Meanwhile akina MMNN, Fiodmashall , Nevermatities, Wakameat etc songea mm pia nikule kwa high table

2 Likes

:smiley: sielewi…!

Tutachukua mathigi saa hii…who made this retard a VE

1 Like

Wacha kutujazia server na umeffi.

4 Likes

Utarudishwa tu new villager soon for no apparent reason…uliza Elder states man @meria…mimi nilijikuta senior nanilikuwa VE na nimetulia…wacha kujichocha

1 Like

Wengine wetu ni One Star General, na hatusumbui watu

5 Likes

hahahaha .uko na,ujinga sana.

riu wee,Wii ngui tu ,keyboard yangu haiezi kutusi vizuri,wacha I revise my county language, caitani

Wacha kujipromote. Wait to be promoted by the villagers. Sit at the back chair na ungojee mkuu wa karamu akuite kwenye kiti cha mbele. … tumeona nyota … na tunajua una nyota.

1 Like

:D:D:D

He he he…its never that serious…mafeelings pelekeeni your politicals demigods…

:D:D:D

Purr kujia guarana

1 Like