Join me in creating the official KenyaTalk video plugin for kodi, what we have right now is just some boilerplate.Suggestions and pull requests are welcomed.
@admin pia pope alikuwa na translator. Sasa ebu translate for us what you have posted juu wengi hawaelewi izo terminology
Ata mie pia nimefloat kapsaa. Boilerplate ya githeri mboga au nini.
@Jazzman saidia.
waturetio pia wewe umeoga hapa au.
Kama ni Python…don’t think I can contribute much
Hii itaruhusu kodishians ambao ni wanakijiji kutazama video ambazo ziko hapa kwa kijiji kwa kodi
The plugin will scrape this village for video content, yes?
explain further please, nimeelewa kidogo (eti kutakua na addon ya kijiji kwa kodi) lakini hii ya kuscrape bado
Ng’ang’ana tu. I have very little education on coding. Najifunza nikiandika plugins
Kazi ya hiyo plugin itakuwa kutafuta video hapa kwa kijiji alafu inaonyesha kwa kodi
hold on Jazzman, you mean if i have my own videos i can upload to kodi?
Kodi can play/show media that is on your hard drive ama online sources but is not a source itself. If you have videos kwa mfano umeziupload to youtube, unaeza pea kodi instructions ikuonyeshe hizo video. So itachukua hiyo video from external source
ill be happy to test it for u on different OS and report for bugs
hii kodi ni pesa ngapi? ni monthly ama yearly?
Sijaelewa kitu hapa. Mimi nimetambua jina Githu kwa hiyo link pekee. Ata nilikuwa nadhali ni mtaa yako ya zamani:D
after maelezo kidogo from wazito wa kodi na bro gugu siko pale nilikua jana.
big up wanna kijiji.
Hehehe, github ni resource ya programmers
vipi wazito,this a gud i dea coz the only channel from kenya on kodi is ktn
Which addon has KTN?
http://tutorial-iptv-xbmc.blogspot.ae/2015/04/install-lihattv-live-tv-streaming-add.html?m=1
follow this @Tichaboni
there are lots of closed groups in facebook for kodi join and learn alot and updates