Odds za leo

@123tokambio @1776 @sludgist
Jana kulienda vile kulienda but we gamblers never quit.Wadau leteni predictions nitest mhindi na 500 ivi…

Leo tote inatoa ndani

Besiktas priority numero uno. Either a direct win au bao mbili for the home team. But wacha kwanza lineup itoke…

Niko na io feeling pia mm but wacha tuskie maoni ya wachambuzi…
Monaco Gg
Dormund home over 1.5ft
Real win
Liverpool win
Napoli Gg
Sevilla ov 2.5

so io game inaeza jaza ov2.5 rahisi sana??

Over 2.5 sevilla cheza safe.

nicheze safe azin???Niitoe kwa bet??

Over 1.5 ina odds ngapi?

1.12 heri kutoa

Yaah

Hio game ya liverpool naeza weka htO1.5 na tottemeffi gg. Real Madrid iko down hii season… Sevilla another defensive team, wacha nione Kama kina nzonzi na yedder wako…

Fity tungoje line up tuamue…

[ATTACH=full]136010[/ATTACH] [ATTACH=full]136011[/ATTACH] [ATTACH=full]136012[/ATTACH]
Kuna enzi nilikua tipster pale mukuru. Back in the days.

My inclinations today
Napoli/City GG (hapa naona 2&GG kama accumulator but the odd patterns will inform me further)
Porto FT1
Shakhtar/Feyenoord 2.5
Sevilla/Moscow 2.5 or FT1
Pia naangalia Lpool ama Dortmund for 1.5HT

io bet slip iko poa…but avoid kupea mancity win

Remember this

Look at your slip very carefully. Just know that kuna game moja itakuangusha. Remove it.

mbona? after what happened to chelsea jana? :D:D:D ei waliangushwa mbaya… vile i was about to put gg

Liverpool won’t add any value to a bet…though naona wakipewa beating

Sevilla
Real
Monaco
fc Porto gg
Preston north end

Gg ya chelsea ndio ilimaliza safe bet yangu

I dont trust Monaco…fanya uchunguzi b4 ubetie Monaco win