- Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?
- Madingi wakaorofi
- Vituko vya facebook.
4…
Uzi wa kupeana likes orijino
Nimeshakukamatisha like ya ugenini, itatosha kupunguzia machungu
Kuna ule wa weekend wa Mzigua…
Uzi wa kutupia picha ya chakula kitamu…
vituko nyumba za kupanga
Ule wa MASTER OF THE GAME. Unao husu kuuza magari
Uzi zote zilizoanzishwa na vijana wa lumumba
Mkuu, unautani na green mamba, alotutoa belenge kwenye msitu wake?
Uzi wa kuuziana Tv, wazee wa kuweka mzigo aka kubet na nyingine nyingi tu
hii ya vituko vya facebook nilipishana nayo…naipata wapi tena
Uzi nilioumiss ni ule wa “Kwanini wanaume wakimaliza kufanya mapenzi wanakimbilia kunywa maji?”
Huu uzi mpaka leo sijui niliwazaga nini
ulikumbuka tu jinsi mr alivokuwa akimbilia maji…great moments zimekukumbusha ukawaza ukaitupia thread
Uzi wa D.B Cooper na ule wa RockeFeller
Uzi wa kutupia Demu yoyote mkali.
Nimeosha macho sana mule.
Battle Dar vs Nairobi
siku ya kwanza kugegeda ilikuweje!
mapishi magumu kupika geto!
uzi wa yule tapeli aliyesepa na mijihela
Mie nalia na JUKWAA LILEEEEEEEEEEEEEE la WATU WAZITO: