#NYSYETU. Paramilitary training at the NYS main college GILGIL

Rank 11 @255

Huku Tanzania makambi zaidi ya 500 yamefunga mafunzo ya JKT juzi juzi tu. Zaidi ya vijana 100,000 wanaoanza elimu ya vyuo vikuu wamepata mafunzo.

Kwa Tanzania hayo ni mambo ya kawaida mno

Pitia hapa ujifunze. Acha uzembe

1 Like

Hapa ni kambi ya JKT Makutupora JKT Dodoma

https://www.instagram.com/p/DP80theDEiI

JKT KANEMBWA KIGOMA - Four weeks zilizopita wamehitimu mafunzo yao

1 Like

JKT BULOMBORA KIgoma - Weeks chache zilizopita wamehitimu mafunzo yao wanaenza kuanza University

RWAMKOMA JKT Mara

Sema, sande elders.