Kenya ni kenya tu… tulishasahau story na NYS na vifo za kina zuma,ule mkamba sijui alikua ni kilonzo… na bla bla bla… in this country ukipata chance ya kupita na public funds ruka nayo acha headlines zikue. Kesi baadaye. Lakini watu wakuiba kuku na kupiga kuni wanyama nyinyi mtafungwa hadi mefi
Unaskia, Mosa
kweli iba mali kibao maana kesi yake haitofautiani sana na aliyeiba kuku so make a lots of money then away
Kabisa brathe
Nilibebwa na mat zingine pick up za kuangaliana