NTSA introduces new virtual smart dl for ecitizen

Wale bado mnatumia booklet DL, saaa hii ukirenew DL itakam ikikaa ivi.

On that note mtu anipee ujanja ya kuendorse D1, D2 na D3 at the same time. @captain obvious cheza kama wewe.

Shait though roundi hakuna ati karao anakwamilia na booklet yako

Alas, ningechalewa kiasi ningepata iyo?.Nilirenew ya 1year on 23 Thursday

Karao flani mujinga ali confiscate old school booklet ya Enigma aki dai hongo pale parklands.One year later bado ako nayo.Anytime Enigma ameulizwa dl anasemanga ‘ulizeni afande mwenzenu wa parklands’

Haha, hatulipi number plate za huyo msee nanii. :D:D

FIKSD

Booklet yangu sibebangi hio naipeleka kwa museum yangu

Karao wa hapo ruai alichukua smart DL yangu ati dangerous loading. Ilibidi nimemwachia nikacheza na abstract ya lost DL.
Siwes fuata kesi station unless ni krimino case.

@Sura Ngumu sasa umeacha siasa ya pesa nane. @Kuna Vitu Sipendi ebu ambia huyu mtu how much you paid for that 1 yr?

Kuna jamaa aliambiwa hapa jana Ruto ame ongeza one year renewal to 1050 akapingana akimtetea…

1050

teknoloji guyz

Hii jamaa ya kuambia madem wakojoe kwa karai kumbe ni kizee wa 1974 :D:D:D

shait na next week inabidi niendee renewal ya 3yrs saa hii ni how much

3050

Saa hii sasa 3 year renewal inamake more sense. Hawa watu ni wajanja sana. Wanaincrease ya one year ndo wasee wengi wamove to smart DL coz ukiwa unarenew yearly inakuwa more expensive i.e 1050×3 = 3150. 3 years renewal = 3050. Na hujaongeza transaction costs.

Kuna mwingine hapa Kasarani last week alirarua insuarance stika ya gari yangu ati haiko legible juu ya kuchapwa na jua ya Kangundo road. Next day nilishikwa juu sijadisplay the insurance sticker (had a copy in the car compartment), had to pull the same statement (ulizeni mwenzenu kwanini alirarua sticker yangu), it sufficed but after wasting 1 h at the station

hio wameongeza sana

Itabidi ushift to smart DL.