NTSA bana

Please PSV sticker mtaleta lini. I have this unit I want kuweka Kwa Little na Taxify. Uber walinifungia inje ili kitunguu inuke kwangu lakini for two weeks stickers akuna. Alafu ngari Siwezi tumia coz Insurance ni PSV even with the NTSA paperwork with me @pamba apan tambua bila sticker. Nifanye nini sasa?

1 Like

Sticker gani hio ya psv ?

1 Like

Enda amaco/explico uchukue tpo ya kushikilia

1 Like

Taxi ama ngari ya car hire. Lazima uende inspection na upate psv sticker

Will do this. On enquiry jamaa andai 2k while in Mombasa it usually costs 1k

1 Like

Hio ni inspection na unapeleka gari yako kwa centre na unapewa mara hio hio after paying the required amounts

Unafikiri n.t.s.a ni talker hapa? No wonder unakosa sticker

1 Like

Inspection nimepeleka lakini sticker ziko out of stock for the last two weeks.

Shait and am planning to go there in the next two weeks

Sticker are available as from today.

1 Like