Noah's flood on a lazy Sunday afternoon

Inakaa Naivasha kumenyesha ile ya baraka. NWBC radio iko poa. Wish ingekuwa ikishika Nairopi.

Anyway olmonk alienda wapi? Alipata mschana?

Alafu hii christmas itakuwaje wadau? Wedding show bado inakujanga?

Niliona pia sundowner imeanza kuletwa on kbc tv channel one…dope stuff happening in Ke.

Watu wa diaspora mko aje? Mbona hamletangi hekaya za huko mliko?

Hao wengine akina NV, V, SV, VE na fellow VS weekend imekuwaje? Na show ya nairovi inaanza lini? Kunanyesha mahali mko?

#101

1 Like

Diaspora Rongai tuko tu sawa

4 Likes

Oldmonk bado yuko…sijaona comment yake of late ama alienda kijiji ya uncle uwes :slight_smile:

1 Like

ako kwa shadows ensuring the site runs smoothly

2 Likes

I hope he’s not planning some @MISCHIEF pale olkaria geothermal.

5 Likes

A major hailstorm where I am right

Congo Hunyesha hivyo

1 Like

Why do you call yourself black and your brown .Don’t ask how I know :stuck_out_tongue:

3 Likes

Niaje Slay Queen delicious Shiro, ile date yetu ya Uhuru park ulisema ni lini?

Oh no!! :D:D:D:D:D

2 Likes

Wapi?

Dawa gani mzuri ya kaswende ? Bwana dagitare.

He says he hopes you are not planning some mischief with your sick brother in law

Niaje diarhoea… Nugu mzee na wakanyama bado wana exist ??

:eek::oops:o_O
Isorait. Isokey.
Ata walipompiga Yesu yeye alinyamaza kimya.

Hahahaha. Usicheze na brown skins

Niaje Colonel? Mundeke kumenyesha?

Mimi naona huyo ni @Ruffneck anapanga kufanya hivo

Aren’t you afraid of getting knocked down crossing Uhuru highway?

1 Like

mimi si midget kama yule…