Njugush Mistake

Njugush has made one big mistake. Hiyo 6.5m ametupa kwa mat angeshika Tu IFB akulange 1m a year bila jasho. He is clearly not familiar with that sector na kitamramba and we will be there no matter what.

1 Like

Nyinyi mnanishangaza badala ya kushughulika na biasala zenu mnaombea Jamaa afail, kamati ya roho chafu

4 Likes

Ukweli tu sio kuhate. Hii biz ikona wenyewe

Wasanii hawanaga kakitu. Njugush amefanya mahesabu akaona majukumu imeanza kuwa serious, Tugi anaitaji school fees.

Sasa sio wakati wa ku impress watu eti anaendesha TX, ni wakati wa mtu kuenda huko nje afanye biashara.
Akina Butita ndio wameachwa kwa io mchezo sasa ya mtu kujidai anaendesha Jaguar na hana assets zinaeza lea family na kusomesha watoto

Biashara si rahisi, lakini Njugush akijituma atafaulu

12 Likes

Ndo maana nimesema hiyo doo angeshika IFB.

I have a relative that owns one and he told me it is doing well that he is considering getting a second one. From what he told me just play by the rules (paying the right people, have a good standing in the sacco), have a reliable crew and maintain ur vehicle religiously.

4 Likes

Had an uncle who had 3 matatus…zilikula kichwa bwana. Madere na makanga wanaweza kupandisha pressure. He sold them all to regain his sanity

3 Likes

wasanii wa Kenya. Juzi nmeona ukirubbish Davido’s earnings then you just came off as very ignorant know-it-all. Diamond and his peers as well as Nigerian and South African artists, leave alone American artists rake in no less than $100k a night.

Reminds me of this… And these were his 2011 rates

1 Like

Bro, Njugush in March alone had close to 10 corporate sponsors and MC gigs. Man definitely makes over 1m per month. He’s just a risk taker, si jamaa wa kuweka pesa kwa savings account

2 Likes

IFB ndio nini?

Tulia, Davido has his own money, na sio pesa ya usanii, na hakuna mtu kenya atakulipa ile pesa mlikuwa mnasema.

Nyinyi mnaona msanii ako na pesa ya kuuza mashamba na biz za family halafu mnaanza kusema eti analipwa 10 million per event, na nani?

Watu wazazi wao ni former deputy chief justice’s na wanatumia pesa ha family, ukitoa io, mtu anabaki zero.

kando na kuwa fan wa Davido, jaribu ukuwe rafiki na wale watu huorganise events, utajua mengi.

Unasema American artists make no less than $100k a night, ata mtu wa kuosha choo America si amelipwa more than a kenyan MCA, io sio kitu out of the ordinary. Na io pesa haiwezi fanya kitu ya maana US, gharama ya maisha iko juu sana huko.

1 Like

MASIKINI WANAKUAGA NA IDEAS MINGI SANA ZA KUTENGENEZA PESA YET HAWANA PESA.

NI KAMA MTU WA BODABODA KWENDA KU ADVICE JAMES MWANGI KUHUSU STOCK PORTFOLIOS. BURE KABISA

3 Likes

Sani umekunywa nini asubuhi…eti $100k a night can’t do anything juu gharama iko juu US. More than half of Sodom doesn’t make that in a year.

2 Likes

What is IFB??

Wenyewe ni kina nani?

Nani amekuambia amelipa 6.5M?

Kwa mat business unaekelea deposit hata ya 1M, unabaki ukilipa polepole.

4 Likes

Peasant anaishi Kwa single room anapeana financial advice Kwa birrionaire. Meffi wewe

1 Like

Infrastructure bonds.

Wewe uko na nini?