Nissan Primera 2002 model

Hey guys, am planning on buying this car but kuna izi vitu naskianga ati nissan ni fake but when u ask people to clarify on the same they actually tell you nothing that helps. Ata kuna mchinese aliniambianga ati nissan is rubbish lakini kuuliza mbona sasa nkaona kizungu imeanza kuwa ngumu. Could any villager here share whether nissan is a car worth investing in ama nichukue ile ya resale value kubaki juu.

2002? Chukua honda. nissan ni gari fake ata ukiangalia tu build kutoka inje. Ama kama umeipenda sana chukua utatuambia vile iko. zile sunny B series na bluebird zina sifa mbaya na utaskia hekaya hapa na pale. Nissan ishakuwa na sifa poa ni ile Nissan caravan ilitenegenezwa kabla renault wakuje kwa nissan. hao wazungu waliingia nissan wakaharibu kila kitu. its not entirely a japanese car.

Is there an exception like tuseme hii specific one ni manual na nimeitest nkaona perfomance iko fiti kabisa

Performance sio indicator ya quality. Maybe it has a large engine for its size. Given how difficult it is to find a car used in kenya in good condition(labda mercedes), you can try maybe its absolutely well kept. lakini hio ni gari hakuna guarantee haitakusumbua.
Kitu ingine gari unaangalia suspension steering, engine na gearbox assembly kama iko na seals zake original ama zinaleak, Radiator for tell tale tinkering and spilt coolant and powderish stuff, bumper na lights from inside kama ishawahi gongeshwa(no dents and no after market paint on the inside), boot lock condition should tell you if its been rear ended. Angalia chini vizuri. If its battered under its been used as a donkey. Gari iko na knock kwa engine haikuwangi mbali na kusumbua. kama unajua kuskiza knock kwa petrol engine utajua tu. A slight knock kama vile diesel inaguruma. For 2002 car in kenya dont expect too much though.

Rene unajua kutumia JSTOR bila library affiliation and without spending $$ ?

Hapana chief. Hiyo unatumia kufanya? Unafanya PhD.
Ni lazma ulipe kama unasema ile online library.

Nissan shida ni spares.Wingroad nili import na 700k na after imeniangaisha juu ya spares ilibidi niiuze na 350k. Lights, side mirrors, guards bei karibu double ya toyota ndio ureplace.
Toyota voxy imeniserve vipoa. Namulika vanguard ama harrier. Hio primera second hand hata 300k kitu safi unawai.
Lakini usibuy gari kama hauna kaploti though kila mtu na priorities zake

Nissan ni bure sio uwongo. I tried new shape ya vannette bro iko Na mwaka Na nusu garage. Engine ya nv200 HR16 nilikosa kabisa. Rear windscreen iligogwa na mkoko Kwa market hakuna. Ilipoingia ilikuwa 16500. Mataa yake ya Mbele ni 56k
Nyuma nikaambiwa above 20.

Tafuta make ingine bro.

Boss i can confidently vouch for the Nissan B15. This car was made to endure all types of situations. Moreover it’s very fuel efficient. I can attest that i have owned like 5 before na hata saa hii niko na mbili. Nione kando naweza kupatia moja.

I got madam Nissan teana 2 yrs ago and it’s the best car she ever owned. Very strong and masculine car. So not all nissans are bad

Think about this…

  • Porte, Passo, ni gari bure…so in essence Toyota ni bure.
  • Freelander ni gari bure…so in essence JLR cars ni bure.
  • VW Passat zingine ni bure therefore VW zote ni bure.
  • Dem fulani hakupenda game yangu so madem wote ni bure (kawasaki battalion).
  • I am too lazy to do some research on the ground and interwebs so I shoot varied biased comments and legitimize it with one or two instances which may or may not be true.

Nissan has been consistently remained the second largest brand of second hand cars here in Kenya. There is an objective reason why that is the case.

B15 na Primera are two different cars. Wewe ni sales man hakuna kitu unasema when yih say you’ve owned 5 before.

Bruh try VW JETTA

Spares are indeed expensive.
The Mrs drives a manual 95 Primera P10 hatchback 2.0 turbo na hakuna complaints.

my fren tuko 2017 just save more money ununue gari ya maana.Proud Nissan owner currently planning to buy Qashqai or Xtrail.

Xtrail, wachana na qashqai

Kuna boy wangu alikuwa na Nissan B14. It served him well for a couple of months, wacha gari ianze mashida kama zote. Morning moja nikimpitia twende hustle nikawapata na wife wakitoka kwa hao. Jama kujaribu kugurumisha ndai lakini wapi, ilikataa na kutoa moshi kama zote.

Mahali niliona shida zake hazitaisha ni time dem yake alisema hivi, “chesh, kwani gari huwaka moto huko ndani kwa sababu inatoa moshi mob sana?”

The last time I saw him, amefanikiwa na kipara kama ile ya cartoonist na pia miwani anazo sasa. Whether the events are correlated, story for another day.

kuna mtu ako na B14 inamkula kichwa sana …yeye huchange plugs kila mwezi

Nissan caravan ni punda ya ukweli I always wondered why many are used in Nairobi town service zimechapa but zinaskuma job…
plus I recently went with one karibu 800 km na mizigo nyuma bila noma…

I already drive a

I already have a Volkswagen golf mk4