Iam a man with 23 yrs old… Nilikuwa na Girlfriend ambaye i was her first man…Tulipendana sana but Nashangaa laat week uyo girl Ametaka Kuachana na mimi na still tulikuwa hot ile mbaya… Akanambia A lets breakup…kweli i was sudenly upset… sikutarajia at the extreme our Love kama angetaka tuachane… Nilikubali Kishingo Upande!
Now its a week…siko Nae i feel Nakonda sina amani na mambo yangu hayaendi sawa tena… nimejaribu kumbembeleza she seems anataka hataki… But im sure the girl loves me… sasa sijui tatizo nini… Niko nae mbali kidogo this chick but she is homie…
Now i am asking you… kwa sasa sina girl… na sina hakika kama nitapenda chick yeyote… maana still i love her… so wadau should i move on or try to wait for her!