NIPENI UTARATIBU NATAKA KUHAMIA KENYAA

Mambo vp wakuu…

Natokea Tanzania… nmevutiwa sana kuja kuishi kenya kwa sababu mbalimbali. Hivyo basi naomb mnifahamishe namna ya kuweza kuingia kenya, Je natakiwa niwe na vibali au naingia tu kama alivosema Rais Kenyatta??..

Also nakaribisha new friends kutoka kenya…

THANKS

Ume pewa kiti kwanza?ama ni kupayuka tu?

Tayarii nimepewa

Uko wapi haswa ili tukupe mawaidha?
Wataka kutumia Ndege, meli au gari?

Kuja na madada zako wote tunawapenda sana

https://www.youtube.com/watch?v=5-Vl0-zTdBk

 huyu hana mfupa hata moja :p:p:p

Mwanza… i prefer bus

Unapenda madem?

:D:D

Mbwa ghasia takataka…mvivuu wee kaa kwenu

Ingia basi, Vuka mpaka, tafuta mahali unapotaka kuishi, iwe ni vitongoji au maeneo ya kifahari; mfuko wako ndio utakaoamua, hakuna atakayekusumbua…

Bahati kuko aje? Natalia kuelekea hivo weekend.

Thaks sana bro. Nimependa ukarimu wako

List ya kesho niaje niichambue. Been busy kiasi, but kesho niko fete…

Bado niko Ilovi.Nasikia baridi tu ndio imezidi.Mahindi maharagwe ziko green,hope kile kidudu hakitatokea this time

wale tu wana haga kubwa kama huyu. 100% boneless

Wew njamaa unakula bange ya kisii… faki yu

Weweee!!! Naona wanakenyatalk tumeanza kuzingatia nguzo za Kiswahili mufti…whatever that means :D:D

Njoo uchukue moja

Hebu andika insha ukielezea ulivyo hisi ulipokikalia.

Nitawafunza kiswahili cha watz