Jumamosi ninealikwa kwenye ubatizo wa mtoto wa miezi mitano. Hii familia ni ya watu wastaarabu sana. Sielewi ni nunue zawadi gani kwa mtoto wa miezi mitano.
Nilifikiria kununua bakuli na kijiko vyenye nembo ya “on your christening day” muda ni mchache.
Avatar yako inaweza kuakisi tabia zako,inawezekana ulitaka kupost kitu kizuri lakini roho ilioko ndani ya avatar yako ikakupelekea kupost something negative,be careful…
[FONT=courier new]Zawadi pekee ya kumnunulia huyo Mtoto ni ’ Mpina Rula ’ ili kila mara naye awe anavipima vitu mbalimbali kabla ya kuvitumia kama ’ uzinduzi ’ mpya uliofanyika nchini Tanzania juzi huko Mkoani Dodoma kwa kupimwa Samaki ambao tayari wameshatengewa Watu kwa ajili ya kuwala / kuwasasambua kwa Ugali.[/FONT]