Ningehamia Huku Isipokuwa ni Wizi

[MEDIA=twitter]1577958355246714881[/MEDIA]

Huku ni wapi… hii nairobi kuona manyasi ni muujiza.

umeachwa na sockets tupu kwa hiyo sura ama huoni hapo chini pameandikwa Nakuru Kenya.

Kahawa Sukari has the same type of roads since kitambo sana. This is really not news.

Mimi nimeangalia picha mblo… sina time ya kusoma.

Behind Nakuru statehouse watokea pale ravine road almost national oil

Hapa ni Milimani Nakuru ukishapita Nakuru high unapiga left na hio njia imepanda hifyo

:D:D:D:D maliza burukenge

Wizi wapi? Make Yakima wezi

Wizi wapi? Nakuru hakuna wezi

Unasema Nakuru gani wewe? The way gangs murder people in Naks is astonishing mpaka ikaletwa kwa news.

Nilifika naks nikapenda hio place, place ingine pia ilinijazz ni nanyuki. Hewa swafi and the place is cool to relax.

Hakuna kitu unaweza iba?

You are confusing me for @johntez addi gaza

nilikua huko juzi after more than a decade. Wazungu wamejaa na kina uhuru and his cronies wamebeba kila kitu. But i enjoyed the place every now and then ilikua inabidi tufukuzane na ma ndovu zinataka kufagia shamba. Nilirudi Nairobi nikiwa nimechafuka roho vibaya sana takataka na kelele kila mahali za kina addi Gaza

A lot of nakuru roads look like this kwanza zile za constituency ya Arama. Hapa ni milimani nyuma ya naivas

wapi concrete poles?
walevi wanaweza kukukanyaga banae

kitambo gani elder? [SIZE=1]barabara zilikuwa murram and muddy for long[/SIZE]

Uhuru alifanya kazi buana.

Hewa safi, no noise ndio place natakanga