Hizi misumari huwa za nini?
[MEDIA=twitter]457522753714024448[/MEDIA]
Hizi misumari huwa za nini?
[MEDIA=twitter]457522753714024448[/MEDIA]
Hio kizungu ni ngumu kuelewa boss. Umewahi kuongea na na dere wa lorry kama mlango imefungwa? You will need to climb up …guess utajishikililia wapi?
Besides ,that action,weakens the side mirror’s arms. Thats why they are nailed
Kinyozi wa stima msumari ni za security ya kadere not actually the sidemirror, have u ever noticed ata wakiwa kwa jam they dont bother closing the windows unlike small cars, now imagine mtu anaeza jishikilia sidemirror u can unleash terror on them even when the vehicle is in motion since umejishikilia mahali
@Tom Bayeye amesema Poteeetoo na wewe ukasema Potaato…
Ndio D- asidandie lorry kwa traffic
Kwani mwizi haezi taka kuongea na dere kwanza kabla kumpora?
Sio hata wezi pekee, Kuna mabroker sumbua hudandia lorry kuulizia bei, watu wa kushukisha etc
Car jackets hang on the mirrors and knock on the window with a berreta muzzle