Nimekuja kuwasabahi!

Habari za muda ndugu zangu?..
Napita kuwasalimu ndugu zangu wakenya.
The Book,Tanzania!

Karibu

Wewe ni Nasa ama Jubilee tukaange tukijua mapema

1 Like

Hapana,sipo upande wowote!