Nimegongwa ama

Niko poa.i bought this HP desktop 5000sh and am not that computer savvy,so I was asking wale wanajua hii mambo, hii kitu iko poa ama nimenunua takataka.please help a brother.safisheni macho kwanza ndio muweze kuona specs zake vizuri[ATTACH=full]120892[/ATTACH] [ATTACH=full]120894[/ATTACH]

1 Like

You bought it a 5k ama ni mimi naona zangu?

1 Like

i am sure you meant 50k not 5k

Five thousand shillings

1 Like

5k

chukua 10 k ,biz ya leo.

5k ni the same na kuokota njiani.

1 Like

Shop gani ?

Kwa hivyo ni mashini mzito

tena sana.Hoping and praying the previous owner is alive .

11 Likes

Ni msee flani aliniuzia

Hiyo.mali ni ya wizi.

2 Likes

Fanya hivi,hiyo umegongwa ,leta nikutupie

6 Likes

3gb ram apo sawa…so kama HD ni above 150gb its Worth it

i5 si mbaya

Hapana sio ya wizi

8gb

waat??..apo umeagukia basi

Mi naona 8gb. Ama wewe ni hando ingine ya fmcp

1 Like

wacha nikuhurumie nikupee 10k unipee hio machine juu umegwongwa zaidi

2 Likes