Nimefika salama

I hope ni wazima wote.

Nimefika salama leo hii na nnatumaini ukarimu wenu unaendelea kama ilivyo kawaida yenu.

Pia nawafikishia salamu kutoka bongo.

Karibu, ingawa ukarimu wa huku unaweza kuwa tofauti kwani tunaishi kikambini zaidi…

Shukrani mkuu.

Karibu saaana

You’re welcome.

karibu.ukimbizini

Karibu, jisikie kama unaishi kambini…