Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!
Wakenya wengi wana maisha magumu sana kuliko mtanzania.
Uliza Huyu Mkenya mwenzenu anaye ishi hapa TZ @mukuna
Bado hajafika Makufuli kwa Njenga Makufuli Kaibab Makufuli kwa Njenga. But I’d rather live in the makers than the shit hole called Kibaha ati Lavington ya Dar where bigwigs like Sarah Matadi haishi. Bure kabisa bureeeeee
Msitishike wakenya, RAIS wetu anapambana na ufisadi kijumla. Haya mambo mnaosikia habarini, ni uchochezi wa wapita njia. Nyie endeleeni kupigana ngeta.
No wonder una post za kipuzi tu, huna chochote unachoona positive kwa wengine ila Tanzania tu; sawia na Rais wako John ‘Ngati’ Pombe. Hadi wenzako huko jamii washakuelewa. Nimeamua kuchimba zaidi kwenye mtandao huo wenu ambao unahitaji upgrade…
@123tokambio Kaka nimekuja hapa jukwaa yenu ili niwaeleze upuzii sisi twayaona mkifanya. Hatuwachukii Bali twawapenda. Juzi tuu tumesema EAC forums zote ziandaliwe kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tena sasa imekuwa siasa. Kila kitu siasa na wakenya… ati ohh Magufuli hajui kingereza… Kila kitu siasa