Kwenye JF ya Dar nilisema Belgium atakuwa bingwa wa WC 2018 lkn uzi wangu ukaungwa na uzi mwingine,narudia tena hapa JF ya Nairobi kuwa Belgium atachukua ndoo ya dunia,sababu Kubwa ni ubora wa kikosi chake.
Belgium anaongoza kwa kikosi bora cha dunia hasa tukitumia kipimo cha IMOBV scale from 0-10 ambapo 0 ni timu mbovu zaidi duniani (Tanzania kwenye scale inasoma 0.05) huku Belgium ikiwa 9.87.
Brazil ni ya pili scale inasoma 7.50
Hispania ni 6.5 ,England ya nne scale ni 6.3.
Kila la kheri Belgium.
Hili Kombe la Dunia tutaona na kusikia mengi sana yaani Mtu mmoja anashabikia SPAIN, BRAZIL, URUGUAY, FRANCE . Huu ushabiki ama Umalaya?
Aahhha
hivi kuna kikosi bora hapa duniani kwa sasa kuidi cha argentina na spain?
Wabelgiji uwaga wanapanick wale. Hili kombe ni ngumu kutabiri kwa sasa
Tarajia usichotarajia
Kombe Brazil
Experience is the best teacher,hicho ndio kitawaghalimu Belgium.
Team portugal hapa
aisee huo ni umalaya tena wa hatari sana
HAKUNA TIMU BORA KUZIDI NYINGINE NAONA HAPA ILA WATAKAO JIPANGA VIZURI WATANYAKUA KOMBE
Ngumu kutabiri.
Jana wamekaziwa
Ft: Belgium 3 - 0 Panama
Kwa kumfunga Panama? what is Panama?
Hayo ma Panama hata Stars ikikomaa inajipigia
Panama si ndo jirani yake na Haiti? hahahah
Argentina inashinda hili Kombe, watu wachave wanaelewa nini naamanisha
Mwendo mpera mpera
Mkuu nzima?