nilikua na mapesa TZ

tunasema pesa makaratasi ama whiti vipi… tz inchi swafi kabisa ila pesa mingi na haina dhamana… haya basi acha nikanye na hii hela yenu…

Most expensive beer is around 3000 Tzsh which is 150/ksh. Halafu pubs zao ni very decent hata kastreet pub kana wifi. Enjoy kabisa mkuu. Lakini leta picha na hekaya hapa kwa kijiji.

picha ni kibao mzito just taja picha yenye unataka ndo nieke

Leta hekaya at your time of choosing. Make sure uende Mt. kilimanjaro huko panaitwa Marangu

mara

marangu… am heading to manyara today by tha niko kustudy birds of east and central africa so naenda na program…