Niko hapa sankara na anko, picha baadaye
Riu twike atia?
Sura ya huyu jamaa inaweza tumika kwa ile advert ya kick polio out of Africa. Kwanza na hio kofia yake ya wafanyakazi wa mortuary pale city morgue. Tuko apa baesa nimeshow maboYz hio pic wamepasua mbaya:D:D Blaze na Sanchez wanasema hii nyani hawezi pewa VISA juu anaka chokora maglue
[ATTACH=full]34486[/ATTACH]
5 Likes
Sadness of being a villager, wacha kipate likes kitulie.
3 Likes
kuna kitu imekuuma mahali: might it be the name sankara…
1 Like
It’s your money and you have the right to squander it in whatever way or in whichever venue you deem fit.
Zii. Ni vile ameskia lichoti amepata mboyz mwengine na yeye ako na blaze pekee yake
1 Like
Kama na zile makucha zako na ulipata VISA akuna mtu anawez nyimwa
2 Likes
You never Fail:D:D:D:D:D
1 Like
:D:D:D:D