Niko na shinda

Leo Sina mingi, ni swali tu, niko na printer ya Hp Laserjet 2500 series. Ilikuwa iyafanya kazi poa for a year for until last month wakati iliacha. Nimejaribu kila mbinu, Kure install drivers, factory reset, kujaribu Kwa computer zingine lakini wapi,
Inawaka, you can print a service page, lakini ukii- connect Kwa comp nothing happens, there is no hardware acknowledgement.
Kizungumkuti ni, kuna nyingine iko na shinda kama hiyo hiyo.
Hii ni shinda gani, Nani ako na jibu? Nani a naweza jua service man yeyeto Wa Hp anisaidie na contacts,
Ndio hiyo shinda yangu

Wooi! Nani ako karibu na printer SAA hii?

O.o

Hii post ningeweka monday,hehe

Sasa wewe nymhomaniac utatombwa saa ngapi kama uko kwa net saa huu

2 Likes

wooi bratha je umejaribu kubadilisha printer cable labda shinda iko there

Kama tatu hivi,

Loading up some X for a night of crazy romping!!

Should have done that earlier or there won’t be much time left for the romping

Kweli una shida aki. Story za printing on a Sato night!!!

1 Like

Woooooooi!!! Pia unaeza jaribu kutumia mabavu
[ATTACH=full]9812[/ATTACH]

2 Likes

haha!! unepost hii on A monday

Ah, hawa watu wa DIY huwa na tumashida mingi sana.

Uko na shida ya matamshi pia, shida kubwa zaidi Ni kufanya kazi mpaka sato usiku, pumzika ndugu.

Matamchi si shinda, shinda ni kujaribu kiswahili na keyboard iko na prediction

Shinda is the fertility god of the Ainu people. Traditional Ainu recite prayers of thanksgiving to Shinda before every meal. (Wikipedia)

3 Likes

What have you won?

bambua ushinde na pilsiner ,guiness,tusker and many more.Anyway first language interferance aside does anyone know how to solve my shinda