Night out with the one that got away

Vipi wadau kuna kamdenge nangoja hapa Edge in town before heading out… she had come for an interview kakanibamba…

2 Likes

Chunga kuna talker alipata anakatiwa na ndume some bar hapo karibu Afya Centre

8 Likes

Nimekuona

@ugali_ya_jana njoo hapa upesi utueleze jinsi ulivyoponea kuwa chipo-ed na lijamaa la miraba minne.

Ati alikugotea “Niaje sweety, uko smart”

Waaaiiii!!! Ugali ya jana karibu uingie box banae.

3 Likes

Kumbe ni ule mwendazime @ugali_ya_jana :joy: :joy: :joy:

1 Like

Ni yeye tu ali dai kidogo aingie box, hio day ma morning hours alikuwa amedai vile akona soo na anadai kupeleka dem out. Elders wakamsho ashike mayai pasua na ateremshe na maji, elders walimpatia ideas ka zote za hio budget yake. Jioni sasa ndio alijipeleka kwa ka club fulani ati ku chill akitegea jam iishe iishe…kama ametulia akaskia ameguzwa mabega na kuitwa sweety…aki ya nani Ruto must go!!!. Ugali ya jana kidogo tu ageuzwe wale watu wa mechi za nyuma…

2 Likes

Kujia moja

Jinice na ukubuke kuweka condom mpangoni na tunangonja hekaya with pics na sio tafadhali.

1 Like

Hizo bia mbili ni shot pale calabash na unarudi home na empty balls

Leta link nijisomee hio hekaya ya abou n wasi.

1 Like

The "one that got away " is a scam. Ile PNC utapata haina comeback.

kwani kuna mtu anatumia mwili yangu na sijui

1 Like

Hehe, niaje kaka.

@Lord_Wanaruona anadai hio thread ya hio day. Sikumbuki fiti na title na ni ya when. Unaeza mind kumjenga…aone masaibu ulipitia akukumbuke kwa maombi on sunday… :grinning:

1 Like

haha Edge was lit kitambo bana… memories