Naombeni mwongozo wenu “vilejasi” mliotangulia huku nchi jirani.
Kuna wapendwa wangu wengi sana kule JF lakini sina namba zao za simu hivi nifanyeje kuwaita kwenye hili chimbo?
Kama una account insta au fb nenda page za JF waite wataona na kuja huku.
Lipia tangazo maalum kwenye gazeti la The East African. Au utangaze kifo cha Jf. Utani kando, ukifanikiwa kumuita @Nalendwa nitag tafadhali.
Hakuna Daraja kati ya kule home na huku ugenini, so ukimuita mtu sauti haivuki!
Tumia instagram ya JF…au mtumie ujumbe Mange,aposti watamiminika wengi
Mange kimambi ana bifu na JF
Bifu kisa nini mkuu??
Mange anaichukia JF maana iliwahi kumchana miaka ya nyuma
Usifanye chochote waache huko huko…
Cc: @Mahondaw
Unataka kumuita nani…nikuitie?
acha tu Kuna vichaa fulani kidizain nawamisi sana
Cc @Smart911
Watu wamepoteana ghafla
Duh!!
weka list yao hapa inawezekana kuna baadhi namba zao tunazo
WATAJE TUWAJUE
Vuta subira tu watakuja
:D:D:D:D:D:D:D:D
Nataka kuwaita hawa wadada:
Bushland, MBITIYAZA, Mulhat Mpunga
Ni kweli mkuu. Sijui tatizo litaisha lini turudi nyumbani kwetu. Ila huku mafichoni tulipo hakuna BAN hahahahaaha
Nime miss wananchi wa jukwaa lile pendwa:
Ambiele Kivele, Fimboyaasali, Castr, Da’vinc, kayman, tater, Naisajuki, mgrik ,patrickn na wengineo