suggestions welcomed
affordable is relative… what price range is affordable to you?
vile @Ice_Cube amesema
Tht place is so bushy ,peleka yeye kwa kichaka ,piga maji . qwan iko niny
Shirk park on Kenyatta ave.,joska opposite tusky supermarket,Chinese avenues suite
Area ya Africa stadium kuna hotels mingi. Affordable pia.
niko naivasha kwa akina baboon leo
huku kuna afffordable lodgings
1 Like
3k maximum…
yes kuna ya 3k very good one
Africa stadium ndio gani sasa?
i guess he meant afraha stadium
Enda Stems …place imenyamaza na ni class
Enda Eros along Kanu street. 1500 bb, 2k ukiwa na quail.
1 Like