Ni probox ama vanguard?

[ATTACH=full]344898[/ATTACH][ATTACH=full]344899[/ATTACH][ATTACH=full]344900[/ATTACH]

Hii inakaa dem flani huku kwa ploti, wacha nisave hii picha nitamu analyse kwa balcony kwa kipoleeee

Probox

Siwezilipa more than 200

Hio ni ya kutumia pale bajaj central sindio

Vanguard! Mashine mzito.

nguruwe abdul ashakufungua boot

No.1 ni ferrari

No.2 ni pimped probox

Niaje uweskhasia

Cute

Number 1