Ni mimi tuu hukasirishwa nahii story au nyinyi pia?

[ATTACH=full]1610[/ATTACH]

@old monk, kaa saa hizi watu wamelala hebu nipe promotion. Nataka kuwa senior sasa

I always check KLost first before switching to KTalk. That tells you that the day KLost is found, you will never hear from me again. Na niko na stories mob nataka kuwachapia.

God, help KLost and Malaysian plane to be found!

Na hapa unatuchapia hekaya??

2 Likes

Watu wako patient… 3 months n still counting

hii kichaka ya ol monk iko sawa mara thao than klost… monk na deorro ni understanding unlike ule kipii wa klost.

3 Likes

mayatima wa klost wanaendelea kuwa adopted na ktalk.

wanderi aniuzie hio klost

kenyatalk iko juu na si ati nini… new breed ikitokea na iko sawa we forget the old one

1 Like

R.I.P. kLost … just like mashada

1 Like

ditto

miezi tatu imeisha kweli? although ukweli usemwe mimi huona ni kama mwaka!

Hapa siwes. I want to adopt a different identity here. Nikichapa hizo hekaya hapa nitajiuza mimi ni nanI KLost, yet I want to remain mysterious.

Naweka hekaya hapa saa hii tu.Mnanisinya, na mtu asijaribu kuuliza picha ama evidence.Mkitaka hizo endeni Kiambu CID headquarters naskia wameweka forensic lab finally.Check my next post!!!

@Supu hebu wacha kisirani!

monk hio promotion ana-come along aje?

@aviator sahau klost vile ulisahau matiti ya ex-girlfriend wako. The thing is this fukcer called Wanderi lost all the data that was at Klost. He would want to recover it but the recovery cost is prohibitive. With him living in the US, there were other bigger priorities other than klost like his two jobs.
Klost will be back, but i bet it’s not going to be the same.

Used to be very active on mashada till one day when it vanished… Waited for it to come back but when it did it was not the same again. So sad klist too went under and i know it will never be the same so just accept n get used to Ktalk.

Am still mourning. Since am on lent, am also fasting so that God, in His unending love, may have mercy on us and return what the devil has stolen from us. Ooh my dear klist!

Tulia yatima,hata pamba haamini ati klist luwere.

Photos and politics made Klist a unique forum. With time Ktalk will catch up