Inaonekana mwisi hatakubali matokeo na ameanza kupanga groundwork. Lakini liwe liwalo lazima aende Sungoi
Sugoi expresss apeleke ujinga huko
Monkey business will not be tolerated, hawa ma CS wa uhuru have already indicated they will rig for baba, everybody should pray for peace.
Tutachoma expressway mkirig
what should be of concern ni the arming of bandits… wakileta bunduki kwa equation tunaingia territory ya somalia
Jaruo kadhaa jinga ndizo zitatupa mawe siku mbili kabla tuapishe Arror .
Mnamuapisha Uganda
Hii kitu nikujipanga