Ngimanene ya Kavagara

Kuna hii ugali ya Joy Millers inajiita Raha Premium flour, madam Ngimanene aliona apike, nawaambia si hio ugali ilikuwa white, very white, extremely white. Mpaka nikamuuliza kwani alipika ngimanene na jik ikuwe white hivyo, animalize achukue plantation ya matharo.
Hio Ngima is abnormally white with a rather bland taste. Nafikiri imetolewo kila kitu kazi yake ni kushibisha with 0 nutritional value. Sioni ikiwahi pikwa kwangu tena, itapikia mbweha the dog ngimanene ya kula na ng

My brother ukizoea kukula ugali ya white utakuwa na magonjwa. Tafuta mahindi mzuri ukuwe unapeleka posho mill inasagwa number two

Inaonekana kuna mtu alichezwa… wewe ni mwana haramu wa Mluyha shikokoti.
hakuna okuyu anaweza shida na upusu ya ugali kila wakati:D

I can eat ugali for breakfast, lunch and dinner provided iko na mboga mzuri. It’s my most favourite meal. Besides githeri. I hate chapati and rice.

Nani amekuuliza

Mamako

sawa mitoto ya umbwa

Wewe ni Mavi ya punda

Rurumûka ruciini

niwache sitaki kusumbuana ii mwaka

[ATTACH=full]342432[/ATTACH]
Ugali kama haina rangi ya vumbi,tuvitu tublack hapa na pale ,hio ni keki tu

Ugali ni ya kisyagi msee…

Si muongeze mchanga mfurahi, ama meffi kidogo ya brown

Mimi kenya nafanya, maindi naiosha alafu naikausha …niki isaga ina kua safi saidi

N unua hii kakitu uwe unajiundia unga from the comfort of your home

https://www.youtube.com/watch?v=zK4GQJSnjoQ:89