Neymar only played 8 games in 18 months due to an injury
Neymar is very smart
io ni kama wizi buana
they don’t mention Tim cooks stock options
It is usually counted. Unaona wamesema total compensation.
But neymar uses iPhone
ulikuwa unataka atumie mediatek nini
Lesson, if your kid is ultra talented in a certain sport, music or other activity, encourage and support them . Imagine if Baba neymar had encouraged him to chapa kitabu ufanye kazi big American corporation, he’d probably be a jambazi sugu in the ghettos za Brazil
But also talent scouts are there in plenty plus developed football academies for kids. Hapa Kenya kula tu kitabu. Can be a good backup option if things don’t go well na hiyo talanta yako
hakuna kitu kama io. watu kama ao the so-called Neymar ni wachache sana kwa dunia, na kuna chances mingi watoto wakifuata io njia, hakuna nafasi enough huko juu wanaweza fit, lakini wakisoma, ingawaje hawatakuwa executives wa billion dollar corporation kama Tim Cook, wanaeza kuwa wakubwa kwa zile organisations ziko kwa county zao, ama country zao.
ukiona mtoto anacheza na masomo eti anasema ako na talent, tandika yeye,
“Neymar only played 8 games in 18 months due to an injury”
Hii kesi ya Neymar imenikumbusha elder fulani @Ndovu, huekelea mega jackpot akule 399m za sportpesa. Ndovu anawekeleanga stake ya soo moja. Niambie kama hio sikuwa smart. Invest less make more.
fukara @ndovu ni @kondoojinga
Neymars skill dictates that unless he is careful, his income will dip seriously in the next 4 or 5yrs given his lifestyle. Tim Cook with his status as a billionaire is unlikely to have a reduced networth any time soon, even in the coming 2 decades.
ame cha kafunga kwa mwarabou buana, io contract ilikuwa ya 3 years
103 x 130 x 3
around ksh 40 billions in 3 years alone, huyu hagwess filisika
Honestly @sani you have a point but generally your software is very outdated. You are a very old school guy who thinks we are still in the 80s and 90s.
Nakumbuka ile trio ya MSN. Neymar is just a magician on the ball.