NEW RIDE IN TOWN

Nime amua ni join team cheki maneno…Black mamba ya @uwesmake na dmx ya @Deorro na tuongeze thermos ya @Meria Mata hawezi nifikia.
[ATTACH=full]262750[/ATTACH][ATTACH=full]262751[/ATTACH][ATTACH=full]262752[/ATTACH][ATTACH=full]262753[/ATTACH][ATTACH=full]262754[/ATTACH][ATTACH=full]262755[/ATTACH][ATTACH=full]262756[/ATTACH][ATTACH=full]262757[/ATTACH][ATTACH=full]262758[/ATTACH][ATTACH=full]262759[/ATTACH][ATTACH=full]262760[/ATTACH][ATTACH=full]262761[/ATTACH]

Weka pich zingine kesho na karatasi imeandikwa handle yako na hii code:2d36u635 ndio nikuamini. Otherwise hizi picha umeiba.

Explain the specs

Mimi sijui mambo za bike, niko na bei tu.
[ATTACH=full]262763[/ATTACH]

Walk. Kes 0.00.

90k?? Wah iyo ni budget yangu ya food the whole year

Kitu Safi ka pamba hope Hakuna mtu analishwa na straw hosi.

Nice not so bad for this city hustle na traffic.

@Bantu wewe huiba pesa wapi? County or national govt? Ama ni pharmacy?

Bike ya ushamba. Heri unge buy haojue 150cc for 90k

Ninety K iko na mabaki ya dumu sasa mingi sana naweza saidia jirani nayo.

CBK deadline ya 1K

Chinese chieth ungeenda to Giant World

sio kila mtu ako na pesa huiba…

Ulipotelea wapi msee

:smiley: nimeskia kuna politicians wananunua ngano na cash money huko Maasaaini to get rid of brown notes.

Si ungebuy tu kifikifi

Ampe kijana wa neighbour mashinani !

Hiyo ni budget yangu ya mnyweso for two years

Nice bike.