New look luthuli avenue

Wadau sijaweza kufika hii pande ya town but kwa mtandao naskia ati chokosh amewezesha sana huko…Ni ukweli,mbicha za real time mko nazo?Nimejaribu kusurf kidogo na hizi ndio nimeget…Sijui kama pia kwa ground ni ivo?Ama ule @spear alishaekelea thread ya sonko development on these?

[ATTACH=full]249808[/ATTACH][ATTACH=full]249809[/ATTACH][ATTACH=full]249810[/ATTACH][ATTACH=full]249811[/ATTACH][ATTACH=full]249812[/ATTACH][ATTACH=full]249813[/ATTACH][ATTACH=full]249814[/ATTACH][ATTACH=full]249815[/ATTACH]

[ATTACH=full]249816[/ATTACH][ATTACH=full]249817[/ATTACH]

Nilikuwa huko jana na hizi picha hazikushika vumbi. At close range the shoddy work of Sonko’s cronies becomes evident.

Looking good from far but on the ground the workmanship is pathetic.
Substandard kerbstones which are already crumbling.
Whoever was in charge of laying cabro has no idea what the job entails.
Drainage was an after thought.
Quality of the bitumen and it’s tarmacking is terrible.
In short it’s shoddy work not befitting the status of a city like Nairobi and it wasn’t due to any shortage of money.
Millions had been allocated.

Luthuli avenue ilikua place ya kusafisha macho kitambo. Unapitia pale chini ya the former “safaricom” house unapanuliwa miguu kuoneshwa paka. jioni wanashuka hapo chini wanakusimammisha na kukushika mjulubeng. ukikaa vibaya wallet na simu inaienda. Siku hixi naona wamejaa River Road jioni.

Chokoch Sonko anachachisha sana, aendelee na streets zingine mbili

Mimi Luthuli na ikumbuka juu ya ile base ya waru.

mimi husema i can be idle in town lakini of all the places siezi enda kukaa ni luthuli, huko watu vile hukua busy, then mtu ako na audacity ya kujikalisha hapo kwa hizo viti

Sonko amepatia wakamba kina @vuja de contract ya barabara badala ya kuwapea contract ya repair ya tyre za gari za kanjo

The only thing to like ni the trees, zimepandwa vizuri na mbolea safii. The pavements are poorly done, the road too. The idea is good, execution poor.

Luthuli fryz and joyland fish and chips, they went away with the special offer of Njiva, quarter chicken and 300ml coke for a Sok. I softened many a chic hearts with a Sok back in them days.

Looks good. but why put those posts along the road? Pia mimi nitatembea huko kuona hii maendeleo. Governor amesema sasa atatengeneza Banda street

Why do they have to use those ugly misshapen Cabro when there are prettier designs?

[ATTACH=full]249848[/ATTACH][ATTACH=full]249847[/ATTACH]
Current situation.

If Sonko was not in a love-hate relationship with the matatu industry, he would do the only thing that Nairobi needs: kick the diesel-spewing monstrosities out of the CBD and limit their operations to designated termini in the periphery. But he tracks ba\ck each time.

The effects of the luthuli Avenue rebuild are undeniable. There was a loop of Poa buses that clogged Tom Mboya, Luthuli, Gaberone, Munyu and environs, lined up in the middle of the roads, engines always running, hooting, blocking traffic and causing fender-benders with smaller vehicles. Yesterday, it was like Paradise to walk along Malindi Dishes and find the streets clean. Where did the rogues go?

[ATTACH=full]249850[/ATTACH]

To be honest the quality of work is wanting!
Not sure why they laid the tarmac that way ni kama zile job you do in one night haraka haraka and yet they have blocked off the whole street for over two whole months!

Whenever I’m on that road I always get the feeling that the Contractor was asked to do his worst.

Hehehe

Naona wewe si hii generation ya wamlambez wamnyonyez.

Nakumbuka way back in 1995 Luthuli Fish and Chips walikuwa wanauza chipo nikama hawazitaki. 20bob mnashiba watu watatu. Wenye mlikuja Nairobi na basi, kindly ignore this post.

Hope they have taken care of drainage system !

ile ya 30 bob…si accra?