New Farm

New farmer here hoping to get valuable input from you all.
Here is what has already

 1. Land to be farmed fenced (chain link)
 2. Borehole sunk and water is plenty in this area
 3. Solar powered water pump installed and tested
 4. Steel water tanks structure built and 4 10k ltrs plastic tanks hoisted.
 5. Ploughing of 7 acres done

Pending tasks:

 1. Harrowing 7 acres
 2. Creating beans planting beds on 44 blocks of 1/8
  acre (30x15mtrs) = 5.5 acres and 3 1/2 acre blocks for onion beds
 3. Drip irrigation piping on the 44 + 3 blocks

Then we will be ready to plant.

22 Likes

birrionea unasumbua panda mahindi unga itafika 300 per kg alafu ununue kisiaga kama ya nugu @mundu_mulosi

5 Likes

Nice.

5 Likes

Mimi sina experience ya kulima, niliambiwa kitu safe ya kuanza nayo ni yellow beans kwasababu zifuatazo.

 1. Short cycle = 3 months
 2. They dont need much care and mainance
 3. The price is good 7k to 14k per 90kg bag depending on supply (with irrigation, one can time perfectly to always get price at top.
7 Likes

Hio landscape ni btw athiriver kuteremka Malili , very cheap but follow the channel ya kupata title haraka iwezekanavyo

8 Likes

May God bless the work of your hands

12 Likes

Nilipata title kabla ata ku fence, nani anaweza chimba maji na kuweka ma tanks kwa land hana title ?

10 Likes

Sawa mkuu panda mahindi na maharangwe, stick to the basics

4 Likes

How many bags per acre can you get with yellow beans

3 Likes

Niliskia 6 to 7 90kg bags per acre is considered very good

3 Likes

Akili ndogo mbaya sana. Mtu anaweza fanya izo zote na hajapata title? Ama wewe bora tu ucomment

6 Likes

Ongeza brothel na lanye

1 Like

Malisaaa hio umbwa ilivuna gunia nusu ya mahindi

5 Likes

Enda utahiri hio uchafu yako kabla uongee , tumeona cases gapi watu wamefanya mambo makubwa kuliko hio takataka tunaona ama nikuonyesha talkers wewe ni jaruo important yenye foreskin na knowledge?

3 Likes

Alafu ati ukipatia hizo yellow beans zile ma nutrients hizo humanga, zinatoa ma beans nono nono hadi kwa hio 90kg bag, weight inafika 90kg of beans, bag ikiwa just above three quarters full kunabaki acre moja imetoa 8 hadi 9 bags.

2 Likes

Sasa mafundi wanamalizia propagation unit


Nani inaka hivi

From side ya shamba

Imecost kitu 90k materials 70k ma fundi mu abandu 20k

8 Likes

Uko na watchman?

7 Likes

@johntez_addi_gaza_ms the thug is taking notes ehh :green_emoji:

5 Likes

Good work mdau utauza produce coast ama Nairobi

3 Likes

Kuna msee mkamba huishi hapo, alafu hii area hakuna ukora mob…ni mandawoo

6 Likes