Net ya saf

nina swali… leo saf ilikuwa na shida na net yao tangu morning ama ni mm nilikuwa na nyongewa net pekee yangu … coz the whole day sijaweza ku access net na nikiwasha net phone inaenda into heating mode… juu ya kutafuta net… Any one else Expirenced such?

Can’t relate, huko tulihama.

mine worked fine, hata home internet worked fine

kwani wewe ni wa NRM?

hadi internet ina-RESIST safaricom

was wondering… how. juu ma work mates walikuwa sawa only i nilikuwa affected… i dd reset the phone nika format bt the same problem ika zidi hadi nika itupia mikono

there were problems yesterday. some downtime

I saw Telkom texts on FB on the same…maybe under-sea fibre cable ilipita na MV Magufool

kwani we ni mzito aje phone battery ikipata moto kama hautumii your phone can be tappped