Neighbors na wivu

You till the land for many months then wake up to this when you are almost harvesting. Such a neighbor can kill you

[ATTACH=full]196604[/ATTACH]
[ATTACH=full]196605[/ATTACH]
[ATTACH=full]196607[/ATTACH]

waaah…huyo anaeza hata piga roundup ama aachilie ngombe

Huyu jamaa ni mchawi

Hii ni bangi,
Hio nguvu yote imetumika hapo ingesaidia place ingine

Wueeh! Huyu anaeza kukata shingo kama Jowie

Huko ni wapi?

huyu nakulisha nyasi liwe liwalo

Whyyyyy?
https://i.giphy.com/media/1v62DQFVY6f4s/giphy.gif

I saw this nonsense before. Jamaa alichuniwa spinach(literally) zikawachwa hapo zimelala.

Mwingine akamwagiwa used engine oil kwa fishpond. Wivu ni ugonjwa

So, wrong… You don’t waste food…

:eek::eek::eek::eek:ngai!!! hii ni chuki

leo hatutakaa na amani juu forward travellers zime strike

am trying to imagine what it is that can justify such rage…na hakuna mtu alikulia mwingine bibi??

I will Kill. FOR REAL mimi naua yeye na Familia yake YOTE!

Nimeskia Uchungu sana

ni ukweli ati gaza gang waliua mdosi wa their sacco?

nasikia hivo

Mtu auliwe tupewe paybill ya lawyer tuchangishe.

My aunt is suffering some similar shit the culprit is the sister inlaw.

sorry to say this lakini nyinyi mko hivo,si huwa unanitegua talkers wote wakikuona?

A relative once returned home to find the water in a 3,000 litres rain harvesting water tank poisoned with an unknown chemical.
Only her sharp sense of smell and being the 1st to return home prevented her family from being wiped out.
There are very many evil envious people out there.

Kawaida ya Mwafrika kuharibu kila kitu