Tafadhali munisaidie munieleze jinsi watu wanapata points
Hahaha… Sijui niwaite.
Let me camp here, wanakuja
Panulia watizedi kinyambis wakuchunishe sukuma
Points za mpesa ushinde ile apartment? Tuma pesa na mpesa utaongeza points ![]()
write a letter to admin,send copies of the same to your subchief,dc ,d.o and office of the deputy county rep.attach recent photos of you and your wife attaining the threshold.thank me later.
Heheheee…
Hapa ni matusi tu utapata na hutasaidika lakini unaweza ulizia kwa mwenye alikuleta hapa.
Kuja na barua ya pastor
watch and learn what other villagers are doing
ukiwa umeketi hapa