Ndumba in football.

During recent arsechieth loss to Brighton. Aubameyang went for those ndumba disguising ati ameenda choo kuhara. He thought that he will influence the outcome of the match. Lakini wapi maombi ya mafans MIGHTY MANCHESTER UNITED. Hazikufanya kazi. Hawa makasia West ham iwalime warudi tu nyasi.
Halafu we see kama watarudi unbeaten after playing 57 matches huko championship. Tears of Joy.
Nimevaaa helmet bring it on.

:D:Dnyi sijui man city itawafanyia nini

Hao ni majirani hawatatuumiza Sana.

after man u na city next ni arsechieth kukamuliwa na city dwyfry

Lakini siku hizi mafans wa arsechieth wameharden. Offlate hawaja kuwa wakijinyonga baada ya kulimwa.

Inaitwa kuevolve…lakini Aubamayeng kuenda choo 3 minutes na game inaendelea ni upuus:D

Hio ni JuJu alikuwa ameendea. Kwanza west Africa country huabudu hizo vitu.