Najua baada ya kukutana na dhahama ya kutoweka kwa JF yetu nchini kwetu, wengi tumeteseka kwa kukosa habari moto moto na utani uliozoeleka kule JF.
Kwasasa nashukuru ndugu zetu Wakenya kwa kutuwekea majukwaa yetu pendwa hapa. Niwaombe watanzania wenzangu tuwe wavumilivu na ukikuta mwenzako amepost thread au Comment, tuwe na roho nzuri tupeane likes ili kuondo hizi status za New Villager.
Ni hayo tu.
Tegeta Nyuki
Daah:):):):)eti new villager… kenyatalk kuna mambo ya tofauti sana. Ukisoma kiswahili cha wakenya hadi kichwa kinauma.
Eli-91
June 13, 2018, 7:30am
4
Jiwe atavimba sana akiona mambo yanaanza kuwa motomoto huku
Yaani natamani member wengi tuliokuwa JF tujazane huku na mijadala iendelee kama kawaida
Tar
Taratibu tu mkuu mwisho tutajaa, Leo katika pekua pekua zangu ndio nikalishtukia hili, maana bila JF hali ilishakuwa mbaya, kumbe in rahisi kukaa bila kwenda kuliko kukaa bila JF.
KIKAZI
June 13, 2018, 12:56pm
7
Najua baada ya kukutana na dhahama ya kutoweka kwa JF yetu nchini kwetu, wengi tumeteseka kwa kukosa habari moto moto na utani uliozoeleka kule JF.
Kwasasa nashukuru ndugu zetu Wakenya kwa kutuwekea majukwaa yetu pendwa hapa. Niwaombe watanzania wenzangu tuwe wavumilivu na ukikuta mwenzako amepost thread au Comment, tuwe na roho nzuri tupeane likes ili kuondo hizi status za New Villager.
Ni hayo tu.
Tegeta Nyuki
Teh teh Ndugu umesema ukweli mtupu aise.
Sifongo:
Tar
Taratibu tu mkuu mwisho tutajaa, Leo katika pekua pekua zangu ndio nikalishtukia hili, maana bila JF hali ilishakuwa mbaya, kumbe in rahisi kukaa bila kwenda kuliko kukaa bila JF.
Kweli mkuu, tukiwa wengi huku mbona malaika wa magogoni atachanganyikiwa tu.
Mkuu tujazane huku ili mijadala iendelee kama kawaida
KIKAZI
June 13, 2018, 1:08pm
10
Kweli kabisa Mkuu harakati ziendelee kama kawaida.
hahahhaha eeet new villagers tuko wengi aiseee
Najua baada ya kukutana na dhahama ya kutoweka kwa JF yetu nchini kwetu, wengi tumeteseka kwa kukosa habari moto moto na utani uliozoeleka kule JF.
Kwasasa nashukuru ndugu zetu Wakenya kwa kutuwekea majukwaa yetu pendwa hapa. Niwaombe watanzania wenzangu tuwe wavumilivu na ukikuta mwenzako amepost thread au Comment, tuwe na roho nzuri tupeane likes ili kuondo hizi status za New Villager.
Ni hayo tu.
Tegeta Nyuki
Umenena Mkuu. Tukutane jioni hapo Fyatanga au Fair Way tupate Serengeti Light
GAZETI
June 13, 2018, 1:56pm
14
Tatizo hili chimbo watalijuaje?
Kama wenzetu nao wana mbio kama sisi lazima watafika tu hapa maana Leo nimeenda Nigeria Mara south mpaka muda huu nipo Kenya kidogo najihisi Niko home.
GAZETI
June 13, 2018, 2:10pm
16
Aaah! Kenya Home Kabisaa, hapa tunapambana kwenye kiswahili tu.
Nimeenda Nigeria hatari tupu bora hapa.
GAZETI
June 13, 2018, 2:24pm
18
Kule si ni kiingereza tu?
Najua baada ya kukutana na dhahama ya kutoweka kwa JF yetu nchini kwetu, wengi tumeteseka kwa kukosa habari moto moto na utani uliozoeleka kule JF.
Kwasasa nashukuru ndugu zetu Wakenya kwa kutuwekea majukwaa yetu pendwa hapa. Niwaombe watanzania wenzangu tuwe wavumilivu na ukikuta mwenzako amepost thread au Comment, tuwe na roho nzuri tupeane likes ili kuondo hizi status za New Villager.
Ni hayo tu.
Tegeta Nyuki
Hahaha. Kula like old villager
Mwifwa
June 13, 2018, 2:30pm
20
innaa:
hahahaaaaa new villager
Ndio ni Mwanakijiji mgeni:p:p:p:p