WakuMBWA lesso nimefunga. Leteni sasa hio audio mr. majority. Zande
NduaLe ni nani?
@Senge nono
Tuliichambua wakati Moi alikua bado mwalimu Kabartonjo Primary…
Jirani unasumbua
Link?
Sande tena
Karibu Tena
hivi ndio huwa munaanguka mtihani ? amesema anataka audio hii unasema haina audio
Afanye hivi basi. Atafute jamaa na Cucu. Awapee hiyo written script. Jamaa asome Ya Adan, Cucu asome ya Nazlin.
Achukue kiti askize audio!!
ma-voyeur ni wengi
its an idea but hao watu wa mharo i think wako na audio huwes ongea nao vile wewe ni birionea watupatie ?
Hii stori yote inakaa fake otherwise audio ingekuja kitambo sana.
uncle kumbe hii story ilikuwa kwa mharo. Nashuku hio audio ilikuwa kiwaria sasa haina haja. 0.00001% of the country understand that shitty language