NCBA bank car auction..Kumbe watu wanaflex huku nje na magari kubwa kubwa za loan

Cheki maneno… Audi and Benz zimejaa kwa yard on auction

5 Likes

Hehehe watu wako na pressure mingi sana za ku impress.Jamaa ana earn 200k gross.Ikikatwa inakuja 142k.Anaona ako na pesa mingi.Anaendea gari kama Audi A4 ama Bimma 320i anakatwa 85k per month.Juu alipiga deal na car dealer ile loan alipewa ya ku buy gari ilikua excess akabakisha ka 400k yenye ana mumunya mosmos.Anatoa ka 20k cash ka ku treat tu dem pale quiver.Kadem kameiva kushinda wenye ako nao akikam anadai kukaimpress ana ambia waiter 'hey my man please bring JW green label i gorrra pay it separately using my mastercard".This scenario replays every weekend na pesa inaisha isha tu moss moss.Instalment ya gari ikikatwa ana bakisha ka 57k.Probably anaishi keja ya 25 ama 30k anabaki na ka 27.Anasahau hajabuy food hajaweka fuel ya German massin.Reality never strikes immediately,usually comes like 18months ama 24 months later akishamumunya ile 400k ikaisha,maybe job imekatika,gari ameshaenda nayo zile ma road trip zenye watu huenda ku drag race sasa gari inahitaji service etc etc.
Halafu banks kama NCBA hawachezangi.Instalment ikichelewa na one day gari inakujiwa in the most inhumane of ways.Recovery hukujia gari hata kama uko kwa traffic jam.Always buy a car on cash.Kama ni on loan na ni gari ya eg 1.3M raise 1.1M halafu ukue na loan ya 200k ya 18months.Yard ya NCBA is proof of social pressurez za wakenya ?a kuimpress.Its also a proff of the instability of Kenyas job market.

27 Likes

@Minomolokanyunja . I agree. Watu wako na presssure huku nje…

2 Likes

grow at your own pace… kuangalia competition will kill you

6 Likes

Schadenfreude is defined as pleasure derived from witnessing another person’s misfortune.

Do you see how conman @Agwambo is so elated to see other people losing their vehicles? Then, the chang’aa addict proceeds to blame ‘social pressures’.

What if the owner decided to relocate to a different country and forego the instalments? What if the owner passed away before servicing the entire instalment? Is that still his/her fault? Zombie?

You see, drunkards like @mzeemashavu and Min Omolo Kanyunja Conman @Agwambo suffer from a severe case of inferiority complex. To them, such machines are unattainable. @mzeemashavu is accustomed to forward travellers matatus, while Min Omolo Kanyunja @Agwambo owns a seventh hand 1941 BMW 3 series handed down to him by his father, the late Kothbiro Onditi.

So they celebrate upon witnessing auctions. @Minomolokanyunja was so excited, he took a selfie of his fully erect manhood in his father’s BMW

13 Likes

No one is interested in your chokosh wars kipii… MOVE ON…

3 Likes

BMW X1 kadudu costs you how much in maintenance alone each year?

3 Likes

ushamalisa kuchungulia nyanya mzee akihara kwa diaper?

2 Likes

I drive a Toyota Corolla 100 jalopy yet most of my colleagues want to pressurrize me to buy a newer car coz most have KD number plates. I can’t fall for that nonsense since I know my goals in life.

12 Likes

Beste yangu alishika gari bmw analipa loan ya 78k Kila mwezi. Hio haina shida. Shida iko hapa. Bibi ndio alichukua loan kwa Sacco ya 800k, beste akatumia kama deposit ya German machin 320i. Beste yangu huwa anapata Doo za ujanja, anaweza Kaa bila Doo mwezi Moja unashtukia ameingiza 700k and above. Sahi ni more than one month hatujaongea. Last time alinipigia kunisho muhindi amemtumia ka letter anadai kukujia machin. Pressure za upuss. Nilimsho angeshika premio used na soo nane na sahi angekuwa relaxed. Labda ishachotwa. Four years ago alichotwa Honda stream.

12 Likes

78k ni mingi buana.Halafu mashimo za ujanja za 700k hukauka zikishakua discovered na wengi.Ambia yeye atafute tracker ang’oe akinego na muindi otherwise ile aibu inamngoja mbele ni ya kimataifa.

4 Likes

Nilimsho anirushe kwa hizo deals akanisho “wewe umezoea kufanya vitu the right way, hapa tunacheza game chafu na hawa watu wa south Sudan”.

Hizo mashimo zake huwa chini ya maji, connection na politicians, wakubwa tu wengi wengi. Alini text ako down nimrushie five k, nikakumbuka akienda south Sudan nilimshika za ticket na hajanirudishia hadi wa Leo mwaka Moja na miezi kadha zimekatika. Akipata doo anaijibamba anamaliza after a few days ana rudi kukopa. Hutuma message, “niwekee ka 20k nakurudishia tu Sahi Sahi”.

9 Likes

Unafaa uende yard yao ya Baricho Road🤭

2 Likes

Has anyone bought from bank auction? Bei hua aje

3 Likes

I need my NCBA dividends every year buana tukiwa na my business partner Uhunye mwenyewe. Car loans are a massive profit center for banks. How else do you think banks make billions every year?? Banks hukuwa wameshika middle class makeii with their car loans. Mtu anafanya kazi kila siku kutajirisha bank.

I would rather drive a vitz paid for in full with cash, than a BMW on loan. Sijawahi chukua loan for a personal vehicle.

Loans ni poa kama unabuy commercial vehicles like matatus, vans, lorries, etc. Gari inajilipia sio ya kuflex.

10 Likes

Distance yourself from him pole pole. He will land you in trouble.

6 Likes

Sahi Ako underground nilimshtua kwa telephone juzi nijue kafikisha wapi story yake na muhindi, hajasema any. Hio ilienda…but unashtukianga ametoka pesa place Fulani anakuja analipa hata three months in advance ana relax.

2 Likes

. @Minomolokanyunja aka @miminimejikojelea was testes driving

It’s Called Life. HIVI NDIO MAISHA IKO, UNLESS YOU ARE A KENYATTA.

Today, you are swimming in millions, then life happens. Everything starts to go downhill. Then it’s a wrap.

5 Likes

Uchumi umezorota sana

1 Like